Kindly be informed that application of admission for academic year 2026/2027 has been closed. All selected applicants shall report to the selected institutions from 03rd November 2025 for registration and commencement of studies.
Tunapenda kukutaarifu kwamba maombi ya udahili kwa mwaka wa masomo 2026/2027 umefungwa rasmi. Waombaji waliochaguliwa wanahimizwa kuwasili kwenye vyuo walivyochaguliwa kuanzia tarehe 03 Novemba 2025 na kusajiliwa ili kuanza masomo kama ilivyopangwa.