Kindly be informed that application of admission for academic year 2025/2026 has been closed. All selected applicants shall report to the selected institutions from 07th October 2024 for registration and commencement of studies.
Tunapenda kukutaarifu kwamba maombi ya udahili kwa mwaka wa masomo 2025/2026 umefungwa rasmi. Waombaji waliochaguliwa wanahimizwa kuwasili kwenye vyuo walivyochaguliwa kuanzia tarehe 07 Octoba 2024 na kusajiliwa ili kuanza masomo kama ilivyopangwa.